Kutongoza
ni sanaa ambayo baadhi ya wanawake wako nayo na wengine hawana. Je
ushawahi kukutana na mwanamke ambaye anaweza kumpata mwanaume yeyote
bila tatizo? Tumekuandikia mwongozo wa jinisi ya kumtongoza mwanaume
bila kuonekana kama unafanya hivyo.
Kabla
haujaijua sanaa hio, lazima ufahamu jinsi ambavyo wanaume wenyewe
hutongoza. Kwanza ni kuwa wanaume kwa kawaida hupenda wanawake
wanaovutia. Hii inatumika kwa mwanaume yeyote yule. Tabia zao ni moja.
So ukitaka kuteka atenshen ya mwanaume, lazima ujue jinsi ya kuvutia.
Pili
lazima ujue kuwa wanaume hawawezi kutongoza kila mwanamke. Kutongoza si
kitu rahisi. Wanaume wengi huogopa kuanza mazungumzo na mwanamke. Wengi
wataweza kukutongoza iwapo tu utatoa ishara ya kuwa unataka kutongozwa.
Sababu kuunya wanaume kushindwa kuapproach wanawake hivi hivi ni
kuogopa kukataliwa na mbaya zaidi kuwa na sifa za mwanaume zege
asiyekuwa na bahati kwa wanawake.
So, utaanzaje kumtongoza mwanaume bila kuonekana kama unamtogoza ili umpatie ile ishara ya kuchangamke?
#1 Onyesha tabasamu na aibu
Wanaume
hupenda mwanamke ambaye anafuraha na hisia chanya. Na zaidi hupenda
wanawake wanaotabasamu na kucheka wakati wanapozungumza nao. Usiongee
maneno ya kuudhi ama misengenyo ukiwa na mwanaume sababu hawapendi tabia
kama hizo. Pia usisahau kutabasamu na kuonyesha aibu.
#2 Msifu na umshukuru
Wanaume
pia hupenda kusifiwa. Kumsifia mwanaume ni mbinu ya kwanza kuanzisha
mchakato mzima wa kumtongoza. Ukiona kitu kizuri kutoka huyu mwanaume
basi usisite kumsifia. Pia mshukuru kwa mambo anayokufanyia.
Ukimwonyesha tabia kama hizi, utakua unaanza kumtayarisha kwa mambo
ambayo anapaswa kutarijia kutoka kwako hivi karibuni.
#3 Mwangalie machoni
Siri
ya kujua jinsi ya kumtongoza mwanaume vizuri ni kwa kujihusisha kwa
kila kitu ambacho anapenda kufanya. Si lazima uwe umefall in love na
yeye ili uweze kuuteka moyonwake. Kile unachohitaji kufanya ni kumfanya
awe na furaha kila wakati anapokuwa na wewe.
So
wakati ambapo utakuwa umekutana naye na mnazungumza, mwangalie machoni
mwake na umpe tabasamu. Kunaweza kumfanya achanyikiwe lakini mwisho
utakuwa umemfanya mnyonge hadi magotini.
#4 Jionyeshe
Mwanamke
ni umbo. Hivyo lazima umbo lake lionekane. Hakikisha unamakinika vizuri
kwa kioo kabla kutoka kukutana naye. Jipambe vizuri, halia nguo nzuri
za kuvutia. Hapa hatumaanishi unavalia nguo za uchi, la. Tunamaanisha
unavalia nguo za heshima ambazo zitapendeza mtu yeyote ambaye atakuona.
Wakati
mnapoongea na huyu mwanaume hakukusha unajionyesha vizuri. Mfano cheza
na macho yako. Cheza na nywele zako wakati mnaongea. Hii ni moja wapo ya
njia nzuri ya kumsuka mwanaume.
#5 Usiongee kwa nguvu.
Wanaume
hupenda kuona ufemini kwa mwanamke. Hivyo ukiwa unaongea na huyu
mwanaume hakikisha ya kuwa unaonyea kistaarabu. Sauti yako unailegeza
vile ambavyo inastahili. Pia hakikisha unaongea kwa toni iliyo ya chini.
#6 Mguse mara kwa mara
Hii
ndio njia nzuri zaidi ya kuhakikisha kuwa mwanaume anaingiwa na hamu ya
kutaka kuongea na wewe. Wanaume hawawezi kujizuia wakati ambapo
wanaihisi miguso ya wanawake ikiilisha kwa ngozi zao.
Hivyo
kwa upande wako, wakati ambapo unazungumza naye, unaweza kumgusa
viganja vyake, kumshika bega ama sehemu yeyote ile ambayo haitazua
taharuki.
#7 Kuwa kisichana
Hapa
hatumaanishi kuwa lazima ujifanye kama mtoto wa shule ili mwanaume
aanze kukutongoza bali tunamaanisha kuwa unajiachilia na kumpa majukumu
mwanaume ili achukue usukani. Hapa unamwacha mwanaume anakuwa kama
nguzo. Usionyeshe kuwa unajua zaidi kumliko ama una akili nyingi kumliko
nk. Mbinu hii utamfanya akuone uko chini yake hivyo itakuwa rahisi
kwake kukutongoza haraka.
#8 Mfanye spesho
Kama
umejua umuhimu wa jinsi ya kumtongoza mwanaume, basi unajua umuhimu wa
kumfanya yule unayemtongoza kujihisi speshio. Hapa huhitajiki kufanya
chochote kipya, lakini lazima ukumbuke kuwa ukimfanya mwanaume kujifeel
spesho, basi atavutiwa na atatamani kuwa na wewe.
Mfanye
ajihisi spesho kwa kumtabasamia na kumuonyesha uso wa furaha. Msifie na
uwe unatumia miguso wakati mnaongea. Hapa mwanaume huyu atataka
kukutongoza kwa kuwa atakuona mwanamke tofauti kati ya wote.
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
No comments:
Post a Comment