Kumjua Mwanaume Kama si Muaminifu - NYUMBA YA MAPENZI

Breaking

Sunday, March 3, 2019

Kumjua Mwanaume Kama si Muaminifu

Image result for sasha tz

Kwa kawaida tu penye mahusiano ya watu wawili kuna maelewano ya kawaida , na kuna kutofautiana pale mmoja anapokuwa msaliti kwa mwenzake. Wenza wengi wameku Iwa wapweke kwa sababu ya kusalitiwa na kuachwa. Pamoja na kutafuta watu sahihi kwa ajili ya maisha yao bado kuna tatizo hili kubwa linasumbua ndoa nyingi.
Maisha ya sasa hivi nimekuwa nikisikia wanawake wakisema vibaya waume zao kwa sababu ya hizi tabia za usaliti wao, wanasema ukigundua kuwa sio mwaminifu achana nae , na wala asikupotezee muda. Kuna wanaume wengi na wazuri tu nje kwa ajili yako tena ni waaminifu. Kwa hio hali kwa kweli sio nzuri.
Basi mimi ngoja tu nikuletee dalili za mwanaume ambaye sio mwaminifu.
1.Wale ambao hupatwa na hasira unapokuwa unaongea na wanaume wengine, na anafikiri unamsaliti.
Mwanaume ambae kila wakati anachunguza simu yako , kujua nini kimeingia , meseji au emails gani zimeiingia na kutoka wapi, kwa nani. Uwe makini nae huyo mtu , inawezekana anakusaliti, kwa nini anakuwa na wasiwasi na wewe, anafikiri kuwa unafanya kama yeye anavyo
Aina hii ya mwanaume hupenda kuonekana mbele za watu kuwa yeye ni mshindi sio kuwa anakupenda, yuko nawe kwa sababu fulani, na hakujali, hana muda na wewe, na hata akikuoa lazima atakusaliti tu, utakuwa mlinzi wa nyumba na mama wa kulea watoto , hutafurahia maisha dada.
bo yao ya siri, lakini hapohapo hupenda kujua kila kitu wewe unachokifanya kiwe wazi kwake. Angalia hapa.
Endapo kila unapotaka kujua kitu kuhusu yeye, jibu linakuwa Jali mambo yako. Na kila ukijaribu kudadisi huwezi kujua anashinda wapi na kina nani, hicho kitu sio utani ndugu yangu lazima uwe na wasiwasi, lazima kuna kitu kinajificha.


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

No comments:

Post a Comment