Tunapofikiria mapenzi, tunafikiria
chocolates, uvivu fulani wa jioni kwenye makochi au vitandani, au
romantic date za usiku. Kwa nini romance imekuwa ni sehemu muhimu
katika kila mahusiano, imekuwa ni siku kwa siku vitendo hivyo
vinafanya kama ndio mwisho wa mapenzi…
Mapenzi sio maoni au nadharia, ni kitendo cha mazoea ya kila siku. Kama wewe unataka mapenzi ya mwisho, yaani yanayoisha, unatakiwa kujazwa katika vitendo, musiki unapoisha na mvinyo unapoisha , hicho ndicho kinachobaki. Unakuwa huna tena mapenzi.
1.Mapenzi huonyesha wema.
Mapenzi huwa yanajionyesha na kutambua kutokana na maneno unayotumia pamoja na hisia zako , upendo hautakabali , haukosoi, hauna mapepo, hauharibu badala yake unaweza kutumia maneno , kusifia , kufurahisha kuvutia, kukubalika kwa partiner wako. Tumia maneno ambayo yanakuelezea jinsi ulivyo na kukufanya uwasilishe kile utakacho, sio kama kushambulia au kudharau mtu.
2.Mwenye mapenzi husamehe kwa haraka.
Nafsi yako inakutaka ushikilie kila kidogo na udhalimu pia,lakini mapenzi ya kweli hutamani kuyazika mabaya kila siku, humsamehe mwenzake kwa ajili ya amani ya moyo wake pia na ni kwa sababu ya mapenzi alionayo.
Anaelewa kuwa kukaa na hasira na kumchukia mtu, ataharibu mahusiano mazuri waliokuwa nayo, kwa hio huyaacha na kusahau na kusonga mbele. Na huweza kuelewa kuwa wote si wakamilifu, kama ukisamehe haraka na kuomba msamaha kwa haraka. Utaondoa maumivu kwa haraka.
3.Mapenzi ya kweli ni kukubali bila sababu .
Ukiendelea kutafuta vitu ambavyo mwenzi wako amekufanyia , utakutana na mambo ya zamani ambayo yalishafanyika na kila siku utakuwa ungundua kitu kipya. Una uamuzi. Kushikilia hayo mambo au kuyaachia yaende zake na kukubali jinsi mtu alivyo. Kama ni lasting love, utakubaliana na mambo yake ya zamani, unamkubali mtu alivyokuwa kabla, unakubali makosa aliofanya, na kumkubali jinsi alivyo leo.
4.Mapenzi huleta ukarimu.
Mapenzi hutolewa bila ya kuuliza , bila ya sababu au hali ya mtu,mapenzi huwa hayategemewi, hayajali muda wa kuheshimiwa , mapenzi hayana kipimo, kwamba unatoa kiasi hiki ili urudishiwe kiasi hicho, mapenzi hayana ushindani, hutolewa kwa wingi, hushiriki kutaka kutenda, na thamani hio huleta furaha.
5.Mapenzi huji express kwa ujasiri.
Mtu huwa na ujasiri wa kujielezea hata mbele ya umati wa watu, jinsi ambavyo anajisikia , na upendo uo utakuruhusu wewe kufanya kazi zako kwa ujasiri hata kama ni ngumu kwa kiasi gani, na pia utakuwa na nguvu za kutatua matatizo yanayojitokeza njiani ili kunusuru mahusiano yako.
Upendo wenyewe ndio unasema jinsi unavyojisikia , unabadilisha wasiwasi na kupokelewa kwa usahihi.
6.Mwenye mapenzi hucheka kwa sauti.
Mapenzi ni furaha ukiwa na mwenzi wako, kucheka zaidi na kupenda zaidi, furahia haya mambo ambayo huwafanya wote mcheke. Kucheka kunapunguza tension, cheka kumaliza tofauti, na cheka kwa sababu umepata kitu cha kufurahisha. Cheka kwa sauti kila siku.
7.Mwenye mapenzi ya kweli , hutoka ndani .
Mapenzi ya kweli huonekana wazi, mapenzi ya kweli ni pale unapokaa na kumkubali hisia za mwenzi wako na mahangaiko yake yote.,mapenzi ni huruma , uelewa na hamu yako wewe na kila mmoja.
8.Mapenzi ya kweli husikiliza siku zote.
Mapenzi ni kusikiliza , kuelewa , na sio kughafilika na kujifanya kusikiliza, sio kama unatoa tatizo , sio kuhukumu au kukandamiza na kushutumu. Ni kusikiliza na uwepo , kusikiliza na moyo wako, kuwepo hapo panpokuwa na shida na raha, kwa maisha yote, usikivu wenye vitendo , unaonyesha kujali mtu.
9.Mapenzi ya kweli hujaji kwa nadra .
Mapenzi hujaji kwa nadra sana au hakuna kuhukumu kabisaa, hakuna kuwazia vibaya au kijinga jinga, hayafikiri vibaya bali hufikiri vizuri, huleta faida kwa mwenzi wake , huheshimu mwenzi wake, humwamini mwenzi wake, huelewana vizuri.
10.Mwenye mapenzi hukubali kuamini.
Mapenzi yana maana kuwa kujitoa, kuchukua risk, kuamini, na kujua kuwa hutakutana na maumivu mbeleni , ingawa matatizo yapo, unapoamini kabisa na kumpenda , ndipo hapo mapenzi huboreka na kuwa na afya bora.
Kuamini maana yake ni , kukubali, kuamua kuwa na huruma, kuamua kusema unachojisikia, inakuwa ni risk siku zote, kujua kwamba yuko mtu wakati wote , atakushika ukianguka.
11.Mapenzi ya kweli hushikana kabisa.
Vitu vinapokuwa vigumu, mapenzi ni kuwa pale kwa mwenzio, ni kusaidia katika ndoto zao na mafanikio yao, na kuwa hapo hata katika mambo magumu, Wanandoa wanaokaa pamoja , wakati wa shida huwa pamoja, wakati wa raha huwa pamoja, wanapopita katika magumu pia huwa pamoja, hushikana pamoja hadi mwisho .fanyeni hivyo kila siku.

No comments:
Post a Comment