TABIA 11 ZINAZOONYESHA MAPENZI YA KWELI: - NYUMBA YA MAPENZI

Breaking

Friday, October 26, 2018

TABIA 11 ZINAZOONYESHA MAPENZI YA KWELI:

Tunapofikiria mapenzi, tunafikiria  chocolates, uvivu fulani wa jioni kwenye  makochi au vitandani, au romantic date za usiku. Kwa nini romance imekuwa ni  sehemu muhimu katika  kila mahusiano, imekuwa ni siku kwa siku  vitendo hivyo vinafanya  kama ndio mwisho wa mapenzi…
Mapenzi sio maoni au nadharia, ni kitendo cha mazoea ya kila siku.  Kama wewe unataka mapenzi ya mwisho, yaani yanayoisha, unatakiwa kujazwa katika vitendo, musiki unapoisha  na mvinyo  unapoisha , hicho ndicho kinachobaki. Unakuwa huna tena mapenzi.

1.Mapenzi huonyesha  wema.
couplebed1w724 TABIA 11 ZINAZOONYESHA MAPENZI YA KWELI:
Mapenzi huwa yanajionyesha  na kutambua  kutokana na maneno unayotumia  pamoja na hisia  zako , upendo  hautakabali , haukosoi, hauna mapepo,  hauharibu badala yake  unaweza kutumia maneno  , kusifia , kufurahisha kuvutia, kukubalika kwa partiner wako. Tumia maneno ambayo yanakuelezea jinsi ulivyo  na kukufanya uwasilishe kile utakacho, sio kama kushambulia au kudharau mtu.

2.Mwenye mapenzi husamehe kwa haraka.
forgive_and_forget-15864 TABIA 11 ZINAZOONYESHA MAPENZI YA KWELI:
Nafsi yako inakutaka ushikilie  kila  kidogo na udhalimu pia,lakini mapenzi ya kweli hutamani  kuyazika mabaya kila siku, humsamehe mwenzake kwa ajili ya amani ya moyo wake pia na ni kwa sababu ya mapenzi alionayo.
Anaelewa kuwa kukaa na hasira na kumchukia mtu, ataharibu mahusiano mazuri waliokuwa nayo, kwa hio huyaacha  na kusahau na kusonga mbele. Na huweza kuelewa kuwa wote si wakamilifu, kama ukisamehe haraka na kuomba msamaha kwa haraka. Utaondoa maumivu  kwa haraka.

3.Mapenzi ya kweli ni kukubali bila sababu .
unconditional-love-10-27 TABIA 11 ZINAZOONYESHA MAPENZI YA KWELI:
Ukiendelea kutafuta  vitu ambavyo mwenzi wako amekufanyia ,  utakutana na mambo ya zamani ambayo yalishafanyika  na kila siku utakuwa ungundua kitu kipya. Una uamuzi. Kushikilia hayo mambo au kuyaachia yaende zake na kukubali jinsi mtu alivyo. Kama ni lasting love, utakubaliana na mambo yake ya zamani, unamkubali  mtu alivyokuwa kabla, unakubali makosa aliofanya, na kumkubali jinsi alivyo leo.

4.Mapenzi huleta ukarimu.
pnz-1024x683 TABIA 11 ZINAZOONYESHA MAPENZI YA KWELI:

Mapenzi hutolewa bila ya kuuliza , bila ya sababu au hali ya mtu,mapenzi huwa hayategemewi, hayajali  muda wa kuheshimiwa , mapenzi hayana kipimo, kwamba unatoa kiasi hiki ili urudishiwe kiasi hicho, mapenzi hayana ushindani, hutolewa kwa wingi, hushiriki  kutaka kutenda,  na thamani hio huleta furaha.

5.Mapenzi huji express kwa ujasiri.
3e2adb50-7ac2-0133-4d9c-0e3f8b958f63-1024x574 TABIA 11 ZINAZOONYESHA MAPENZI YA KWELI:
Mtu huwa na ujasiri wa kujielezea hata mbele ya umati wa watu, jinsi ambavyo anajisikia , na upendo uo utakuruhusu wewe kufanya kazi zako kwa ujasiri hata kama ni ngumu kwa kiasi gani, na pia utakuwa na nguvu za kutatua matatizo yanayojitokeza njiani  ili kunusuru mahusiano yako.
Upendo wenyewe ndio unasema jinsi unavyojisikia , unabadilisha wasiwasi  na kupokelewa kwa usahihi.

6.Mwenye mapenzi hucheka kwa sauti.
38098444_edit_img_facebook_post_image_file_14918467_1395828300_fb-1024x538 TABIA 11 ZINAZOONYESHA MAPENZI YA KWELI:
Mapenzi ni furaha ukiwa na mwenzi wako,  kucheka zaidi na kupenda zaidi, furahia haya mambo ambayo huwafanya wote  mcheke. Kucheka kunapunguza tension,  cheka kumaliza tofauti, na cheka kwa sababu umepata kitu cha  kufurahisha. Cheka kwa sauti kila siku.

7.Mwenye mapenzi ya kweli , hutoka ndani .
true-love-20543-1024x640 TABIA 11 ZINAZOONYESHA MAPENZI YA KWELI:
Mapenzi  ya kweli huonekana wazi,  mapenzi ya kweli ni pale unapokaa na kumkubali  hisia za mwenzi wako na mahangaiko yake yote.,mapenzi ni huruma , uelewa na  hamu yako wewe na kila mmoja.

8.Mapenzi ya kweli husikiliza siku zote.
images-4 TABIA 11 ZINAZOONYESHA MAPENZI YA KWELI:
Mapenzi ni kusikiliza , kuelewa , na sio kughafilika na kujifanya kusikiliza, sio kama unatoa tatizo , sio kuhukumu au  kukandamiza na kushutumu. Ni kusikiliza  na uwepo , kusikiliza na moyo wako, kuwepo hapo  panpokuwa na shida na raha, kwa maisha yote, usikivu wenye vitendo , unaonyesha kujali mtu.


9.Mapenzi ya kweli hujaji  kwa nadra .
Mapenzi hujaji kwa nadra sana au hakuna kuhukumu kabisaa, hakuna kuwazia vibaya au  kijinga jinga, hayafikiri vibaya bali hufikiri vizuri, huleta faida kwa mwenzi wake , huheshimu mwenzi wake, humwamini mwenzi wake, huelewana vizuri.



10.Mwenye mapenzi hukubali kuamini.
Mapenzi yana maana kuwa kujitoa, kuchukua risk, kuamini, na  kujua kuwa hutakutana na maumivu mbeleni , ingawa  matatizo yapo, unapoamini kabisa na kumpenda , ndipo hapo mapenzi huboreka na kuwa na afya bora.
Kuamini maana yake ni ,  kukubali, kuamua kuwa na huruma,  kuamua kusema  unachojisikia, inakuwa ni risk siku zote, kujua kwamba yuko mtu  wakati wote , atakushika ukianguka.

11.Mapenzi ya kweli hushikana kabisa.
ReadingInBed2 TABIA 11 ZINAZOONYESHA MAPENZI YA KWELI:
Vitu vinapokuwa vigumu,  mapenzi ni kuwa pale kwa mwenzio,  ni kusaidia  katika ndoto zao na mafanikio yao, na kuwa hapo hata katika mambo magumu, Wanandoa wanaokaa pamoja  , wakati wa shida huwa pamoja, wakati wa raha huwa pamoja, wanapopita katika magumu pia huwa pamoja, hushikana pamoja hadi mwisho .fanyeni hivyo  kila siku.

No comments:

Post a Comment