Najua
ushawahi kuskia aina hii ya mwanamke lakini huzijui tabia zake, labda
hujawahi kukumbana na mmoja ana kwa ana. Well, leo sifa zake
tutaziorodhesha. Huyu ni mwanamke ambaye huwa na sifa za uchu, ni rahisi
kumuapproach na kukupa uroda bila kufikiria mara mbili.
Kama
unataka kujiridhisha haraka basi hawa ndio wanawake unaweza kuwafukuzia
na utakuwa na uhakika wa juu ya kuwa utafaulu katika azma yako. Lakini
iwapo unataka mwanamke wa kumpeleka nyumbani kwenu na mwishowe kumuoa
basi epuka na aina hii ya mwanamke.
Mwanamke mwenye kiu na uchu utamjua na tabia zifuatazo.
#1
Ulimpata katika baa/klabu. Hapa sisemi kuwa wanawake wazuri
hawapatikani katika baa ama vilabu, la. Ninachosema ni kuwa ukipata
mwanamke sehemu hizi halafu baada ya usiku mwingi kuingia anakubali
kwenda na wewe nyumbani kwako basi ujue ni mwenye kiu. Labda lengo lake
kuu ilikuwa nikuenda klabu na kupata mtu wa kulala naye.
#2
Alikuwa amekujaajaa. Hii ni njia ya moja kwa moja kuonyesha kuwa
mwanamke aina hii anajionyesha ili umchague. Mwanamke ambaye anataka
mahusiano ya kweli hawezi kuwa na hisia za kukushika ama kukuingia
mwilini wakati wote. Mwanamke mwenye kiu atafanya hivi ili akuvutie
umpende haraka.
#3
Ulilala na yeye haraka. Kuna wanawake wengi ambao wanaweza kuingiliana
haraka na wewe halafu wakaendelea na mahusiano marefu, lakini mara
nyingi wanawake hawa huwa wanataka tu kula uroda. Wana kiu cha
kutambulika na pia kutaka zaidi. Wanawake wengi hudhania kuwa kulala na
mwanaume ni njia ya kumfanya akutambue haraka, jambo ambalo si kweli.
#4
Anakupigia simu usiku wa manane. Hii hufanyika iwapo mwanamke ana uchu
na wala hana lengo la kuwa katika mahusiano. Wanawake aina hii
watakupigia usiku wa manane ili watimize tamaa zao za uchu. Ukiwaambia
waje kwako nyakati hizo za usiku watakuja mara moja.
#5
Mawasiliano yenu ni ya mlalano. Kiufupi mahusiano yenu ni ngono, ngono,
ngono. Hata kama mmeenda out kuangalia filamu mwisho wa siku mtafanya
ngono. Hakuna cha ziada ambacho mtakuwa mnaongea. Hii ni ishara kuu ya
kutambua iwapo mwanamke huyu ana kiu kisichoisha.
#6
Anataka kujua kila kitu kukuhusu. Hapa mwanamke aina hii hatakupa time.
Ana tamaa ya kukufahamu kila kitu kwa lengo la kuingia katika mahusiano
na wewe. Atakuwa anakuuliza maswali yasiyokuwa na mwisho. Epuka
mwanamke kama huyu sababu kiu chake kukimaliza si rahisi.
#7
Anasuka kila mwanaume anayemuona. Utamjua ni mwanamke mwenye kiu kwa
kuwa anatafuta atenshen. Ni kama ana njaa isiyoisha hivyo kila mwanaume
atakayekutana naye atakuwa anarusha ishara za kutongoza hata kama
unatembea ama uko na yeye.
#8
AnakuSMS kwa mpigo bila kusita. Aina hii ya mwanamke atakuwa anataka
kuwasiliana na wewe kila wakati. Ukiona mwanamke anakutumia meseji mara
kwa mara, kila wakati basi fahamu anataka atenshen. Kiu chake kwako bado
kiko kingi.
#9
Anasema kuwa nyinyi ni wapenzi mara ya kwanza kuongea naye. Hata kama
uko mshapu kiasi gani katika kutongoza wanawake, ukiona ya kwamba
mwanamke anajitokeza na kujitambulisha kuwa wewe na yeye mko pamoja na
hata hujapiga hatua ya maana kumtongoza basi hapo fahamu kuwa kuna
tatizo. Itakuwa ni wale aina ya wanawake wanaotaka kuonekana kama wana
wapenzi. Huyu ni mwanamke mwenye kiu cha kuwa na uhusiano bila hata
kufikiria.
#10
Anakuashiria maneno ya mapenzi. Labda mnaongea tu mambo ya kikawaida
halafu ghafla mwanamke aina hii akaanza kukutajia maswala ya mambo
anayopenda kitandani, filamu za ngono, uroda nk bila hata kufikiria.
Well, huyu atakuwa anarusha nyavu kuangalia kama itanasa chochote. Hapa
ukizubaa tu utanaswa, na kiu chake hakitamalizika.
#11
Anahakikisha anakuona mara kwa mara. Kila wakati yeye anapiga mahesabu
ya sehemu ambazo anaweza kukutana na wewe mpaka inafika mahali
unaudhika. Well, huyu ni mwanamke ambae kiu chake bado hakijakamilika
vilivyo.
#12
Yuko rahisi. Si kila mwanamke ambaye utakumbana naye atakuwa rahisi
kumtongoza. Na si kila mwanamke unayelala naye kirahisi anaweza kuingia
katika mahusiano marefu na wewe. Lakini ukiona kuwa huyu mwanamke
anakufungulia chupi haraka, utahitaji uwe na tashwishi na unahitajika
kumchunguza zaidi iwapo ataonyesha ishara tulizoziorodhesha awali
kuhakikisha kuwa ni mwanamke mwenye uchu.
Well,
je wataka kuwajua na kuwatambua aina hii ya wanawake? Kitabu chetu cha
Kutongoza Mwanamke: Kuanzia Hadharani Hadi Kitandani kitakufundisha na
kukuelekeza.
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
No comments:
Post a Comment