Kwa
wanaojua Mchezo wa Soccer; Kitu cha Msingi si Size ya Kiatu, Bali ni
Skills za Mchezaji Mwenyewe ndiyo Zinawezesha Mchezo uwe mtamu na Kisha
Magoli ya Kutosha.
Maswali
ambayo huwasumbua sana Wanandoa wengi na yamefika mezani kwa madaktari
wa mambo ya afya na mahusiano ni kuhusu wanawake kutofika kileleni na
wanaume kumaliza haraka tendo la ndoa na pia, je kuna uhusiano wowote
kati ya mwanamke kufika kileleni na size ya kiungo nyeti (Mashine) ya
mwanaume?
Ukiangalia
haraka unaweza kusema hayo mambo mawili yanafanana; kwani kama mwanaume
anaweza kumaliza haraka (kukojoa au kufika kieleleni), ina maana ni
dhahiri mwanamke atakosa kufika kilele kwani mwanaume anakuwa
alishamaliza zamani,
Lakini
ukweli ni kwamba kama mwanaume atamuandaa mwanamke vizuri basi hata
kama huwa anawahi kumaliza haraka (dakika 2) itakuwa haina shida.
Pia
watu bado wanajiuliza, ni size gani na urefu gani unafaa kwa kiungo
nyeti cha mwanaume kuhakikisha mwanamke anafika kileleni?
Je ni udogo kiasi gani unafaa kumwezesha mwanamke kufika kileleni?
Wapo
wanaume kutokana na walivyoumbwa kuwa na umbile dogo automatically
hujasikia inferior au vibaya na kujiona kama vile hawana uwezo wa kuwapa
wapenzi wao mapenzi halisi na kuwafikisha kule wanataka na matokeo yake
wengi huwa hawapo wazi kujiachia kwa wake zao au wanaogopa hata wake
zao kuona na kuwapa uhuru kukifurahia hicho kiungo nyeti na adimu wakati
wa tendo la ndoa.
Kila mwanaume ana kiungo tofauti kama ilivyo kwa alama za vidole vilivyotofauti kwa kila binadamu.
Ukubwa
au kimo cha kiungo si msingi wa ufanisi wa utendaji wa tendo la ndoa
bali muhusika mwenyewe ndiyo msingi wa mafanikio katika tendo la ndoa.
Huhitaji
kuwa mjinga kiasi hicho kudhani kwamba urefu au ufupi, unene au
wembamba wa Mashine ndiyo unafanikisha mke wako wako au mpenzi wako
kufikia kilele; badala yake unaweza kumsababishia maumivu na kumkosesha
raha ya mapenzi.
Hata mwanaume mwenye Mashine ndogo anaweza kuwa mtaalamu wa kumfikisha mke wake katika furaha ya kweli katika tendo la ndoa.
Njia pekee ni kijifunza jinsi ya kufanya mapenzi vizuri, jinsi ya kuwa partner mzuri.
Huo ni mwili wako upende, jifunze kuutumia, jitahidi kuutumia kwa ubunifu na kwa kimahaba zaidi.
Mbusu
na kumpa mgusu wa mwili mpenzi wako kwa muda mrefu hadi unahakikisha
amenyegeka vizuri kwa kumchezea sehemu zote ambazo ukimgusa anapata raha
inayomuwezesha kuwa hot kwa kuwa ni partner wako; mwili wake wote ni
mali yako na ni wewe, hivyo safiri kila sehemu ya kiungo cha mapenzi kwa
kadri unavyoweza kuliko kukimbilia kumwingilia wakati hata hajanyegeka.
Amini,
usiamini kila mwanamke anapenda mwanaume au mume ambaye ana kipaji,
talent, ana ubunifu, aliyemtaalamu anayeweza kumpa mahaba ya uhakika na
si kuwa na mashine kubwa tu bila ujuzi then baada ya dakika 2 upo
pembeni unapiga usingizi wakati partner wako anaugulia kwa kuachwa
kwenye mataaa.
Hapo
ndipo utasikia mwanamke anasema hajisikii kama unampenda anaona kama
vile unamtumia tu ili kutimiza matakwa yako ya mapenzi.
Kuwa
na kiungo kidogo siyo kosa wala uhalifu bali umeumbwa hivyo na kuujua
mwili wako na kujua majibu sahihi ya mahitaji ya kimahaba kwa mke wako
hiyo ndiyo akili na unaonekana mwanaume Smart kwani wewe ndo unajua
kupenda, unajua mapenzi.
Kuhusu
mwanaume kumaliza haraka, pia si kosa wala uhalifu hata kukufanya
ujione si lolote, badala yake elekeza jitihada katika kukabiliana na
hilo tatizo na inawezekana kwa kupata ushauri wa daktari au kufanyiwa
maombi.
Kitu cha msingi unatakiwa kujua kwamba kuna tofauti kubwa sana za kijinsia kati ya mwanaume na mwanamke.
Kwa
asili mwanaume hupenda mara mwanamke akiwa mtupu yeye mara moja aingize
na kuendelea na mchezo wakati mwanamke yeye anahitaji maandalizi,
jitahidi kuwa na muda wa kutosha wa foreplay kwa mke wako zaidi ya
dakika 10-15 ili awe tayari kwa tendo la kuingiliwa na wewe.
Na
kila mwanamke ana namna yake ya kufikishwa kwenye raha mwingine
atapenda aina fulani ya mkao na mwingine atapenda aina nyingine ya mkao,
mwingine atapenda achezewe ki...mi na mwingine atapenda achezewe
maziwa, na mwingine atapenda sehemu nyingine hivyo mwanaume anahitaji
kuwa mvumilivu na sharp kumsoma mke na kujua ni kitu gani anahitaji na
wapi anahitaji kuguswa zaidi ili afike huko kunako raha yenyewe.
Pia mawasiliano wakati wa faragha yenyewe ni muhimu; kwa maneno na vitendo wengine hawasemi bali wanakuelekeza kwa mkono.
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
No comments:
Post a Comment