Baadhi
ya wanawake hufikia kilele mara moja tu (tena kwa shugulikiwa kisimi
sio ule uhondo wa kumani) kila wanapofanya mapenzi/ngono na wachache
wamejaaliwa na hupata uhondo wote wa kufanya mapenzi yaani wanaweza
kufika kileleni zaidi ya mara mbili katika tendo/mzunguuko mmoja.
Ujuzi au utundu wa mwanaume hausaidii ikiwa mwanamke mwenyewe hajiamini na vilevile hajui ni kitu gani kina “kunyegesha”.
Mwanamke anasehemu mbili maalum zinazopelekea kufikia kilele ikiwa zitafanyiwa kazi vyema sehemu hizo ni Kisimi na “kipele G”
Wanawake
wengi tunakasumba ya kukimbilia “mikao” migumu tukiwafikiria wanaume
wetu, sasa mimi nasema hivi; ikiwa unamatatizo ya kufika kileleni
hakikisha mnaanza na “mkao” ambao unajua wazi unakufikisha ktk dakika
chache badala ya kukimbilia “doggy” ukijua wazi mumeo/mpenzi wako ana
mboo fupi au hajui/hujui “kipele G” kiko wapi?
Kifo
cha mende #1. Huu ni “mkao” wa kizamani au kilokole (kufanya mingine ni
dhambi hahhahaha) ila mimi binafsi na ufagilia sana.
“Mkao”
huu umeboreshwa na unaweza kuufanya katika “pembe” tofauti inategemeana
na wepesi wako, Ila hizi pembe mbili nakupa hapa ni maalum kumuwezesha
mwanamke afikie kilele.
Kama
kawaida lala chali huku miguu imepanuliwa, wakati Jamaa yuko juu yako,
kunja sehemu ya magoti kueleke kifuani, kisha egesha miguu yako kwenye
mabega yake.
Hii
itazidisha kina cha uke na kufanya uume uende chini zaidi na
“kukandamiza” mwisho wa uke na ukitoka huko unasugua sugu “kipele G”
kabla haujatoka kabisha na kulamba kisimi na midomo ya K na hivyo
utapata raha katika sehemu zote za uke wako.
Kifo
cha mende #2. Mwanamke juu….ukiwa tayari kalia “mzingo” kisha mpe ile
ya 1-10 na fanya hii kwa ajili yako ondoa maswali yako kuwa “sijui
anasikia raha, sijui sio hivi sijui nini” mh-mh wewe jifikirie mwenyewe
kwanza, unajua hawa viumbe sio lazima wafike ndio wawe wamefurahia tendo
bali kitendo cha wewe kuonyesha unafurahia au jinsi unavyoteseka kufika
yeye anapata raha…..
Mara
baada ya kufika sasa ndio anza kumfikiria yeye na hapo ndio anza kumpa
mauno, mpe mbele-nyuma, huku na kule, juu-chini huku wakaza mboo yake
namisuli ya uke…..vyovyote uwezavyo na kama umeumbwa ka’ mimi basi
unaweza pata bao la pili na mzunguuko haujaisha pao!
Real
entry (a.k.a Doggie). Hii ni tofauti kiduchu na ile ambayo wengi huwa
mnaifikiria/fanya ambayo mwanamke huwa hafiki kiurahisi na hapo “fake
kilele” hujitokeza kwa vile ama inauma au kachoka.
Ninachojaribu
kusema hapa ni kuwa “chuma mboga/mbuzi kagoma” wanawake wengi huwa
haiwafikishi kileleni na huwa tunafanya hivyo kwa ajili ya wanaume na
wanaume huwafikisha haraka kutokana na kile kitendo cha kuona inaingia
na kutoka na uzuri wa matako yako yanavyo “lindimika” ka’ jelly
hahahahaha.
Wewe
mwanamke ili ufike kileleni basi inakuwa hivi mwanaume analala chali
huku kichwa kikiwa juu ya mto (ili aweze kuangalia kazi yako).
Wewe
unatakiwa umpe mgongo alafu ingiza uume kisha “support” uzito wako kwa
kushikilia godoro, Wakati wewe unaenda juu- chini, yeye akusaidie kwa
kukushika kiuno au matako, hakikisha uume wote unaingia hadi mwishoni
kwenye makende/pumbu pale alafu usiwahi kurudi juu hakikisha unajisugua
kiaina ili kuona wapi panakunika alafu jiweke kwenye pembe hiyo.
Kumbuka wewe ndio “dereva” hapo kwa hiyo endesha vema kwani ukikosea kidogo tu atakuacha (kutokana na anachokiona).
Ukiona
haiji haraka basi nyoosha miguu yako bila uume kutoka ukeni na hapo
utakuwa umelalia tumbo kwenye mapaja yake na miguu yako inatazama uso
wake, panua miguu yako vema kisha mpe “pumps” (rafiki yangu mmoja husema
mpige tako hahahahaha)…..hapo lazima utafika tu…..
Vilevile
unaweza simamia magoti na mikono (kama mnyama) panua miguu kidogo na
Jamaa atapiga magoti nyuma yako na kuingiza uume kwenye uke, unapaswa
kujituma kama ni ndani-nje, huku na kuko, mbele- nyuma, kuzunguusha
kiuno chaguo ni lako, lakini ukifanya vyote ndio raha zaidi.
Chap-chap#1.
Hii
inaweza ikafanywa bila kuondoa nguo zote unashusha kidogo hadi magotini
“kitu na Box”, nah ii lazima wote muwe naminyege lundo. Alafu ikiwa
wewe ni mfupi itakuwa ni kituko kwani itabidi upande juu ya “kistuli” au
upange matofali kama sio kubebwa (inategemea mko ktk mazingira gani)
ili uume uingie vyema na kwenda “kukandamiza” uke wako kwa ndani na
wakati wa kutoka basi upitie vema kisimi.
Chap-chap#2.
Anataka wewe akili iko kwenye kuosha vyombo n.k. Mpenzi wako kwanini
umnyime ei? Simama alafu uiname kidogo, pitisha mate kidogo juu ya uke
wako alafu ingiza na kidole ili mate hayo yalainishe njia…kisha panua
mguu mmoja ili kuuwezesha uume uingie vizuri, ukishaingia rudisha mguu
kidogo ili uume “usichomoke”, wakati jamaa anakwenda juu-chini mikono
yake ichezee kisimi ili kuongeza raha ya mnachokifanya .
Ubavu #1(a.k.a 11).
Lalia
ubavu na ugeukie upande wa pili, jamaa akiwa nyuma yako ataingiza uume
ndani ya uke kwa kupitia nyuma, “mkao” huu hufanyika katika mitindo
tofauti kama ilivyo kifo cha mende ila huu ni wa kivivu zaidi lakini
itakufikisha kunako uhondo.
Ubavu#2(a.k.a
14).Yeye analala kama #1, wewe jishushe kiasi kisha jikunje kama nne
alafu rudisha matako yako kwa nyuma uswa wa uume wake kisha inua mguu
wako ili aingize uume ukeni mwako, rudisha mguu chini kisha anza
kujiangaisha kwa kukata kiuno au vyovyote uwezavyo wakati yeye anakupa
nje-ndani….
Kitendo
cha mapaja yako kubanana kitakupa raha kwenye kisimi na hata utamu na
uume nao utakuwa umeubana na hivyo kusugua kona zako huko ndani.
Vyura.
Lala
kifudifudi huku umepanua miguu alafu Jamaa alale juu yako na kuingiza
uume kwenye uke kupitia nyuma, kwa kufanya hivyo uume wake utalenga vema
“kipele G” kama unacho.
Wakati
akienda nje-ndani mwili wako utakuwa unacheza cheza na kusugua kisimi
ambacho kwa wakati huo kitakuwa kimegusa godoro na hivyo utapata utamu
mara mbili kwa wakati mmoja wa “kipele G” na kisimi.
Toroli.
Lala kifudifudi mwishoni mwa kitanda ning’iniza miguu huku umeipanua ,
Jamaa asimame katikati ya miguu yako, arudi chini kidogo ili aweze
kuulenga uke. Jamaa atakwenda nje-ndani na wakati huohuo mwili wako
utakuwa unacheza na kusugua kisimi na unaweza kubahatisha bao mbili kwa
mzunguuko mmoja kama umejaaliwa.
KIDOKEZO KWA WANAUME.
Baadhi ya wanaume huwa na bidii na kufanikiwa kufika “Eneo la hatari” ambako ni ndani yaani karibu na njia ya uzazi.
Unapofika
huko mwanamke atakuwa akilia kwa maumivu na wakati huohuo kutaka zaidi,
pia utahisi misuli ya uke inakubana na kujaribu “kusukuma” mboo hiyo
haina maana kuwa mwanamke amefika bali anakaribia hivyo ni wajibu wako
kuzidisha “speed” badala ya kupunguza.
Jinsi
unavyofanya hivyo ndivyo unavyozidi kumpa raha mwenzio na hatimae
kufika…..baada ya kutoka uume unaweza ukawa na vijidamu kiasi au damu
hasa kama vile yuko hedhini hapo inamaana umejeruhi kwa vile kule ni
laini sana na hupona yenyewe tu.
Tahadhari:
Ruhusu mtu afike mbali kiasi hicho ikiwa mko kwenye mahusiano ya
kuaminiana, huna mimba (inaweza kuleta matatizo), huna mpango wa kupata
mimba (akiteleza kidogo tu pale imenasa). (kumbuka ku-click skip add ili
kuiona hiyo video ni bure)
Mazoezi
ni muhimu ili kufanikiwa kujaribu baadhi ya mikao ya kiujumla ambayo ni
BAB-KUBWA.Mikao mingine nitaendelea kukurushia hapa inategemea zaidi na
matakwa yako.
Kila la kheri katika kutukuza utukufu tuliojaaliwa.....samahani kiswahili changu kibovu.
No comments:
Post a Comment