Wanawake
wengi wanagombana na watu wao na hata wengine kusaliti mahusiano yao
kwa sababu hawavutiwi kuwaona waume zao wakiwahi kufika kileleni,hivyo
kushindwa kuwapa dozi inayotesheleza.Tatizo kubwa linalowasumbua wanaume
wengi wenye tatizo la kufika kileleni mapema ni kuwa na Pupa na haraka
ya kufanya mapenzi.Wengi wao hupokea hisia zilizokuzwa na kwenda nazo
katika ufanyaji wa tendo la ndoa.Saikolojia inaelekeza kuwa ili mwanaume
achelewe kumaliza ni lazima apunguze mhemko unaotokana na kuona,kuhisi
na kupagawishwa na staili,maumbile au chombezo toka kwa mwanamke.
1.Kutumia
zaidi ya dakika 20 kufanya maandalizi na mpenzi wako kabla ya kuanza
tendo.Hii itasaidia kuufanya mhemko wako ushuke na kumuongezea kujiamini
na pia kumuongezea muda zaidi wa kumaliza.
2.Mbinu
nyingine ni ile ya kuidanganya akili ni lazima itumike ili kuzima
taarifa za juu za uzuri wa mwanamke,maumbile na raha ya starehe
isipokelewe kwa nguvu kubwa mwilini.Hii ikiwa na maana kuwa kuna kipindi
inabidi fikra za mwanaume zisihamasike sana kwenye tendo badala yake
iletwe mawazoni hali ya kawaida,si ile ya kuweweseka na kuhemahema ovyo.
3.Pia
inashauriwa kuwa mume ma mke wanapoingia katika uwanja wa mapenzi wakae
kwanza kwa muda,huku wakiwa wamejiachia na mavazi mepesi,lakini pia
wacheze michezo mingi kwa muda mrefu bila kuanza kazi yao.Wakiwa kwenye
hamasa hizo wasiwe kimya
4.Mbinu
nyingine ni ile ya mwanaume kujibana akiona dalili za awali za kumaliza
bila kujali ametumia muda gani,anachotakiwa kufamya ni kukaza misuli ya
miguu na kuzuia mbegu kwa mtindo atumiao kuzuia haja ndogo
isitoke,kujibana huko pia kumatakiwa kuende sambamba na kuacha kucheza
“shoo” pamoja na hilo mwanaume anatakiwa aidanganye akili kwa
kulazimisha iwaze jambo jingine ili kuharibu taarifa za raha zilizotumwa
mwilini zisiendelee kufanyiwa kazi na hatimaye kumfanya kumaliza tendo
haraka
Zoezi
hili linaweza kuwa gumu katika hatua za kwanza kutokana na kukosea muda
sahihi wa kijizuia,lakini mhusika akiendelea kukizoeza atajikuta
anaweza na kupata uwezo wa kufanya mapenzi hata kwa saa nzima hivyo
kuondokana na tatizo hilo.
N:B-
Kwa
wale waliozoea kujichua wanashauriwa kuacha mara moja kwani ni sababu
pia ya wao kufika kileleni mapema,hii ni kwa wanakuwa wamezoe kutumia
ngivu sana hivyo wanapokutana na kiungo halisia “UKE” wanashindwa
kujizuia kufika kileleni mapema kutokana na joto la kiungo halisia”UKE”
kuwa tofauti na vile walivyozoea.
No comments:
Post a Comment